Dada wa kazi apewe maua yake

Dar es Salaam. Dokta Remmy Ongala aliwahi kuimba wimbo wa kuwasifu madereva wote wa Tanzania. Katika maneno yake, wimbo uliwataja madereva wa Serikali, wa mashirika ya umma, Idara, Wizara na pia madereva wa makampuni. Humo kuna madereva wa usafiri wa umma kama UDA na KAMATA. Ingelikuwa wimbo huo umetungwa hivi karibuni kwa ninavyomjua Remmy, asingekosa…

Read More

CCM kutangaza utaratibu mpya ubunge wa viti maalumu

Dar es Salaam. Wakati joto la uchaguzi likizidi kupamba moto, kuna sintofahamu kwenye mchakato wa kuwapata wabunge na madiwani wa viti maalumu ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imewalazimu wabunge na madiwani waliopo madarakani sasa kuhaha kutengeneza mazingira, ikiwemo mbinu chafu kama zilizokemewa na viongozi wa juu cha CCM katika kuhakikisha wanatetea nafasi…

Read More

Ishu ya Ikanga Speed, Yanga yafikia hapa

MASHABIKI wa Yanga wana kiu ya kumwona nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka AS Vita ya DR Congo akiliamsha katika kikosi hicho, lakini siku zimepita bila winga huyo kuonekana na kuzua maswali. Hata hivyo, kocha mkuu wa kikosi hicho, Hamdi Miloud ameamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika…

Read More

Kwa Simba hii, ukijichanganya inakula kwako!

KUWENI makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema. Ndio, Simba inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara na inayousaka ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuukosa kwa misimu mitatu mfululizo, msimu huu imekuja kivingine kiasi inashtua kwa…

Read More

Rufaa ya haraka ilizinduliwa kama shida ya DR Kongo inaleta uhamishaji mkubwa kwa Burundi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakati mapigano yanavyoongezeka katika DRC ya Mashariki, wakimbizi zaidi ya 40,000 wa Kongo – kimsingi wanawake na watoto – wamevuka Burundi tangu Februari, Na zaidi ya waliofika 9,000 waliorekodiwa katika siku moja wiki hii. Wengi hutumia boti za kuhama kupita kwenye Mto wa Rusizi, kuvuka kwa hatari kwenye mpaka ulioshirikiwa na Burundi, DRC na Rwanda….

Read More

WASHIRIKA WA MAENDELEO WAIPONGEZA TANZANIA KWA MIPANGO THABITI

Na Janeth Raphael- MichuziTv -Dodoma Washirika wa Maendeleo wameonesha kuridhishwa na Sera za Maendeleo zinazotekelezwa na Serikali ikiwa ni pamoja na Mipango ya thabiti ya kushirikiana na washirika hao wa maendeleo ili kuweza kutekeleza malengo yaliyokusudiwa katika Sekta ya Uchumi kulingana na mikakati iliyowekwa. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mku wa Wizara ya Fedha Zanzibar…

Read More