
Simba na siku nane za kibabe
SIMBA imebakiwa na dakika 180 za kibabe katika mbio za ubingwa msimu huu, huku kocha wa timu hiyo, Fadlu David akisisitiza anataka kwanza kumaliza mechi mbili zijazo kabla ya kujipanga kwe zilizosalia ili kuona wanatoboaje mbele ya Yanga. Simba iliyopo nafasi ya pili katika msimamo ikiwa na pointi 51 baada ya mechi 20 itaanza dakika…