
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAZINDUA KITUO CHA TIBA YA USAFIRI WA ANGA (CAM), KUBORESHA USALAMA WA ANGA KIKANDA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Uangalizi wa Usalama wa Usafiri wa Anga wa Afrika Mashariki (CASSOA), Salim Msangi, amehudhuria uzinduzi wa Kituo cha Tiba ya Usafiri wa Anga (CAM). Uwepo wa Bw.Msangi katika hafla hiyo unaonyesha dhamira ya Tanzania katika…