
Hii hapa ratiba ya umeme Dar na Pwani, angalia eneo lako
Dar es Salaam. Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuboresha miundombinu yake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Zanzibar na Pwani limetoa ratiba ya jinsi litakavyotekeleza kazi hiyo. Maboresho hayo yataanza Jumamosi Februari 22 hadi 28, 2025. Tanesco limejipanga kuboresha huduma ili kuhakikisha usambazaji wa umeme kwa wananchi unafanyika kwa ufanisi. Kutokana na hatua…