
Hapi atupa kijembe wapinzani waache kulalama, visingizio
Babati. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Ally Hapi amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kutolalamika kwa watu na kutoa visingizio kuwa wanataka Katiba mpya na Tume mpya ya uchaguzi ili hali watu hawawezi kula hayo wanahitaji maendeleo. Hapi amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kutoogopa kushiriki uchaguzi, akisisitiza kuwa kazi kubwa zilizotekelezwa na…