
Wawakilishi saba wa LBL mbaroni Geita
Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu saba ambao ni wawakilishi wa Kampuni ya Leo Beneth London (LBL) kwa tuhuma za kuendesha biashara ya fedha mtandaoni bila kuwa na kibali cha Benki Kuu ya Tanzania. Kaimu Kamanda Maro amesema watu hao waliopo mji mdogo wa Katoro wamekuwa wakiwatoza wananchi fedha kati ya Sh50,000…