
Fisi aliyekutwa amekufa akiwa na jina, shanga azua gumzo Simiyu
Itilima. Fisi mmoja ameuawa katika Kijiji cha Kimali kilichopo katika Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu na kukutwa akiwa amevalishwa shanga shingoni na alama ya jina kwenye paja lake la mguu wa kushoto, jambo ambalo limezua gumzo katika mkoa huo. Tukio hilo la kushangaza limeweza kuibua maswali mengi kuhusu asili yake kama alikuwa na mmiliki au alikuwa sehemu…