Chalamila: Wanawake wamebeba maono ya Taifa

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uwezeshwaji wa wanawake katika nyanja mbalimbali, ikiwemo masuala ya uongozi, utasaidia kuongeza na kuimarisha nguvukazi ya nchi kwa kuwa wao ni wabeba maono ya Taifa. Chalamila anasema hatua hiyo ni muhimu kwani idadi yao (wanawake) ni kubwa kuliko wanaume na pia uwezo…

Read More

Ulevi ulivyosababisha meneja GPSA kusimamishwa kazi Tabora

Mwanza. Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoani Tabora, Mayala Mburi ameingia matatani akidaiwa akiwa mlevi alimtukana Mkuu wa Mkoa huo, Paul Chacha na watumishi sita kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu alipotafutwa kuwapatia huduma. Madai hayo yakitolewa, taarifa ya GPSA kupitia Kitengo cha Mawasiliano na Masoko ya Februari 20, 2025 imesema Mayala…

Read More

Huu hapa msimamo wa CCM kuhusu ‘No reform, No election’

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa msimamo wake kuhusu kampeni ya No Reform, No Election (bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi) ya Chadema kikisema, chama kimoja hakitaweza kuzuia uchaguzi kufanyika. Katika msisitizo wake kuhusu hilo, CCM kupitia kwa Katibu wake wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla kimesema kwa kuwa uchaguzi ni…

Read More

Wafula Chebukati afariki dunia akiwa na miaka 63

Nairobi. Wafula Chebukati, aliyesimamia uchaguzi wa urais wa mwaka 2017 uliobatilishwa na Mahakama ya Juu na pia uchaguzi wa mwaka 2022 uliosababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63. Kipindi chake cha uongozi kama Mwenyekiti wa IEBC, kilianza Januari 2017 baada ya kuondolewa…

Read More

Chebukati afariki dunia akiwa hospitali Nairobi

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, Wafula Chebukati, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 62. Taarifa kutoka kwa familia yake zinaeleza kuwa Chebukati alifariki jana Februari 20, 2025, katika hospitali moja jijini Nairobi alipokuwa akipatiwa matibabu. Aidha, Chebukati ameugua kwa takriban wiki moja na alikuwa…

Read More

Amuua nduguye kwa shoka wakigombania ugali

Kakamega, Kenya. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Reuben Lutaboni (42) ameripotiwa kumuua mdogo wake Michael Lukala (40) kwa kinachodaiwa kupishana kauli juu ya kiasi cha ugali walichotakiwa kukipika. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kilimani Kaunti ya Kakamega nchini Kenya, kama lilivyoripitiwa na tovuti za Jambo Radio na Tuko. Kwa mujibu wa kaka yao…

Read More