
TASAF IRINGA YAFANIKISHA UJENZI DARAJA , SASA WANANCHI WANAVUKA KWA AMANI
Na mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amekagua na kufurahishwa na Utekelezaji mkubwa uliofanywa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Manispaa ya Iringa Kwa kukamilisha Ujenzi wa Daraja muhimu linalotumiwa na Wananchi katika Kata ya Kitwiru ndani ya Manispaa hiyo. Wananchi wa…