
Jimmy Mafufu Ahama Chadema, Amchacha Lissu, Roma Na Nay – Video – Global Publishers
Last updated Feb 21, 2025 Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Akitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari, Mafufu amesema amekoshwa na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuibadilisha nchi tangu alipoingia madarakani. …