
SBL Yazindua Programu ya SMASHED Mwanza Kukabiliana na Unywaji wa Pombe Chini ya Umri.
Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kukabiliana na unywaji wa pombe kwa vijana chini ya umri inayojulikana kama SMASHED jijini Mwanza, ikionyesha dhamira yake ya kukomesha unywaji wa pombe kwa vijana kupitia elimu. Hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Mkolani iliwakutanisha maafisa wa serikali, viongozi wa elimu, na wadau wa sekta…