Cheche aachia ngazi Cosmopolitan | Mwanaspoti

KLABU ya Cosmopolitan imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Idd Nassor ‘Cheche’, baada ya makubaliano ya pande mbili, huku sababu ikiwa ni mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi ya Championship. Kocha huyo wa zamani wa matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, aliliambia Mwanaspoti ni kweli amefikia makubaliano hayo ya…

Read More

Wakazi 100,000 wanufaika na mradi wa umeme wa Makambako

Dodoma. Watu takriban 100,000 kutoka katika vijiji 120 wamenufaika na mradi wa umeme uliogharimu Sh165 bilioni. Akizungumza katika ufungaji wa mradi wa umeme wa Makambako (Njombe) hadi Songea (Ruvuma), Balozi wa Sweden nchini, Charotta Ozaki Macias amesema serikali ya Sweden ilisaini mkataba wa utekelezaji wa mradi huo mwaka 2008. Amesema pia iliahidi Sh165 bilioni kwa…

Read More

Siku saba zaongezwa kwa waombaji ajira Zimamoto

Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeongeza muda wa siku saba kwa waombaji wa nafasi za ajira kupitia tangazo lililotolewa Februari 13, 2025 na Kamishna Jenerali wa jeshi hilo, John Masunga. Kwa mujibu wa tangazo  hilo la awali  lilihusisha nafasi za ajira za ngazi ya konstebo kwa vijana waliohitimu kidato cha nne ambalo…

Read More

Nahimana kiboko ya penalti Ligi Kuu

KIPA Jonathan Nahimana wa klabu ya Namungo ameonyesha umahili mkubwa wa kudaka mikwaju ya penalti baada ya juzi (Alhamis) usiku kudaka penalti ya Feisal Salum  wa Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu  uliomalizika kwa sare ya 1-1 kwenye uwanja wa Azam Complex. Penalti hiyo ilipatikana dakika ya 48 ambayo kama ingeingia wavuni basi ingeifanya…

Read More

Amiry Matumla Atamba Kumchapa Mnamibia

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MCHEZAJI wa ngumi za kulipa nchini Amiri Matumla ambaye ni mtoto wa Bondia Mstaafu; Rashidi Matumla amejitapa kumchapa mpinzani wake Pauls Amavila raia wa Namibia katika pambano litakalopigwa leo Februari 28,2025 katika ukumbi wa Soko la Magomeni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza jana wakati wa utambulisho wa mabondia watakaozichapa katika…

Read More

Makosa hatari ya kitabibu kwa wagonjwa wodini

Dar es Salaam. Wagonjwa wenye mahututi walio wodini, wako hatarini mara saba zaidi kupoteza maisha kwa kukosa huduma za msingi, utafiti umebaini. Imebainika kuwa asilimia 69 ya wagonjwa mahututi tofauti na dhana iliyojengeka, walikuwa wakitibiwa katika wodi za kawaida na sio wodi za uangalizi maalum  (ICU). Kufuatia matokeo hayo, wataalamu wa afya wamesema endapo madaktari…

Read More

Wimbi la vijana ‘wanaojibusti’ sasa balaa jijini Dar

Dar es Salaam. Tatizo la nguvu za kiume limeendelea kusumbua vijana nchini. Wakati baadhi wakitajwa kutumia za asili ambazo hazitambuliwi na mamlaka, baadhi yao imegundulika kuja na mbinu mpya ya kununua dawa za kawaida kwenye maduka ya dawa, huku wakibadilisha matumizi yake. Kwa mujibu wa uchunguzi wa siku kadhaa wa Mwananchi, dawa zilizobainika kutumika zaidi,…

Read More