
RC Moro awapa mbinu wakurugenzi kuvutia wawekezaji
Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro (RC), Adam Malima amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kwenye maeneo yanayopakana na vivutio vya utalii kutenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji ili kuvutia watalii. Malima ametoa agizo hilo leo Februari 20, 2025 kwenye kikao kilichowakutanisha wawekezaji, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na viongozi wa Mkoa wa Morogoro kinachoelezea fursa za…