Jumuiya ya Zimbabwe ya LGBTQI inakabiliwa na shida ya hali ya hewa-maswala ya ulimwengu

Chihwa Chadambuka ni wa jamii ya LGBTQ, ambao wamegeukia kilimo cha hali ya hewa kubadili maoni ya kikundi hicho. Mikopo: Farai Shawn Matiashe/IPS na Farai Shawn Matiashe (Mutare, Zimbabwe) Alhamisi, Februari 20, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mutare, Zimbabwe, Februari 20 (IPS) – Alishtakiwa vibaya kusababisha ukame, Kundi la watu wa LGBTQI nchini Zimbabwe…

Read More

Chadema: Barua ya Mchome ‘haina mambo magumu’

Dar es Salaam. Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, iliyowasilishwa na kada wa chama hicho, ‘haina mambo magumu’ ya kukisumbua. Hata hivyo, wakati Chadema kikieleza hayo, kada huyo, Lembrus Mchome, amesema hatakubali kupokea majibu…

Read More

Twiga Stars yaimaliza Guinea, bado 90 ugenini

Twiga Stars imeanza vyema kampeni za michuano ya kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 nchini Morocco, baada ya ikiitandika Equatorial Guinea kwa mabao 3-1 katika mchezo mkali uliopigwa jana, Uwanja wa Azam Complex. Twiga ambayo imekuwa na kikosi bora kwa miaka ya hivi karibuni, ilionyesha kiwango cha juu kwenye mchezo…

Read More

Simba uso kwa uso na Al Masry robo fainali

Droo ya robo fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika imepangwa ambapo Simba itavaana na Al Masry ya Misri. Simba ambayo ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya Caf baada ya Yanga, Coastal Union na Azam kuondolewa itaanzia ugenini ambapo mchezo wa kwanza utapigwa Aprili 4 huku wa pili ukipigwa Aprili 10 kwenye Uwanja…

Read More

Upelelezi kesi ya kuchana noti za Sh4.6 bilioni Benki Kuu bado

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13 wanaokabiliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi, likiwemo la kuharibu noti zenye thamani ya Sh4.6 bilioni bado unaendelea. Kwa pamoja washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo la kuchanachana noti hizo na kuisababishia Benki Kuu ya Tanzania hasara ya Sh4.6 bilioni. Wakili wa Serikali, Winiwa…

Read More

Mfanyabiashara kortini wakidaiwa kukutwa na kemikali za vileo

Moshi. Mfanyabiashara Novita Shirima (49), mkazi wa Katanini na Dereva Justine Mbise (29), mkazi wa Bomambizi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo kumiliki kemikali, inayotumika kutengeneza vileo aina ya ethanol kinyume cha sheria. Pia, wanadaiwa kughushi stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutumia nembo bandia za bidhaa…

Read More

Bosi Jatu ahoji upelelezi kutokukamilika miaka mitatu

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, imeitaka Serikali tarehe ijayo, itoe majibu sababu gani inayosababisha upelelezi wa kesi ya iwasilishe majibu kuhusiana mshtakiwa, Peter Gasaya (33) ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya JATU PLC, kutokukamilika mpaka sasa. Gasaya anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu na…

Read More