Coastal Union wajiandaa kurudi Mkwakwani

WAKATI wowote Coastal Union inaweza kuishtua Simba ikipanga kuhamisha mchezo huo wa Ligi Kuu utakaopigwa Machi Mosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Tangu msimu uanze Coastal imetumia viwanja vitatu tofauti vya nyumbani ikianza na KMC Complex, kisha Azam Complex na sasa Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha kutoka na Mkwakwani kufungiwa ili kupisha mboresho. Wagosi…

Read More

Mohamed Baresi aanza mikwara Ligi Kuu

MASHUJAA juzi jioni ilikuwa uwanjani mjini Kigoma na kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Pamba Jiji, huku kocha wa timu hiyo Mohamed Abdallah ‘Baresi’, akianza mikwara wakati akijiandaa kuikabili Yanga keshokutwa Jumapili mjini humo. Mashujaa ilikuwa imecheza mechi nane mfululizo bila kuonja ushindi kwani mara ya mwisho iliifunga Namungo kwa bao 1-0  Novemba 23…

Read More

Majengo ya Kilimani, Michenzani kubomolewa

Unguja. Wizara ya Maendeleo ya Makazi ipo katika hatua za kutafuta wawekezaji watakaowezesha ujenzi wa kisasa katika maeneo ya Kilimani, Kikwajuni na Michenzani na kubomoa majengo yaliyopo ya zamani ili Zanzibar iwe miongoni mwa miji inayotambulika kutokana na usanifu wa majengo ya kisasa na yenye mvuto. Majengo hayo yalijengwa na Rais wa Awamu ya Kwanza,…

Read More

Sh33 bilioni zawekezwa mikopo ya nyumba

Dar es Salaam. Wakati wateja 7,000 nchini wakinufaika na mikopo ya nyumba, Watanzania wametakiwa kutumia fursa hiyo kuweza kumiliki nyumba zinazotolewa kwa mkopo katika maeneo mbalimbali nchini. Mkopo wa nyumba unatolewa na taasisi ya fedha ya Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC) kupitia wanahisa wake 20 ikiwamo Benki ya KCB. Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC,…

Read More

Ile mishuti ya Ulomi sio ya bahati mbaya

HIVI unayafuatilia mabao anayofunga mshambuliaji wa Mashujaa, David Ulomi? Hadi sasa nyota huyo ana mabao manne na yote yanafanana, licha ya kuyafunga kwa timu mbili tofauti na mwenyewe akifichua mabao hayo hayafungi kwa kubahatisha ila anayafanyia kazi mazoezini. Ulomi alifunga bao la pili kali katika ushindi wa mabao 2-0 iliyopata Mashujaa dhidi ya Pamba Jiji…

Read More