
Mradi wa kuboresha ulinzi wazinduliwa mikoa ya kusini
Lindi. Wananchi wa mikoa ya Kusini wametakiwa kuacha tabia ya kumaliza kesi za ukatili nyumbani na badala yake watoe taarifa kwenye vyombo husika ili kuweza kuondoa changamoto hizo. Wito huo umetolewa leo Alhamisi Februari 20, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuboresha ulinzi kwa mikoa ya…