
Wanafunzi kidato cha tano kupewa kompyuta mpakato, wadau watoa neno
Dar es Salaam. Wakati utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 na mitaala iliyoboreshwa ukianza kwa baadhi ya madarasa ya shule za msingi na sekondari, bado kuna upungufu wa vitabu vya kujifunzia hali ambayo inaweza kutishia uwezo wa wanafunzi kujifunza kwa ufanisi. Takwimu zinaonesha uwiano wa vitabu na…