Viongozi wa CARICOM wanaanza mkutano wa 48 na kujitolea kwa hatua za pamoja juu ya wasiwasi muhimu, wa kawaida – maswala ya ulimwengu

Waziri Mkuu wa Barbados, mwenyekiti wa CARICOM Mia Mottley katika sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa 48 wa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Caricom. Mikopo: Alison Kentish/IPS na Alison Kentish (Bridgetown, Barbados) Alhamisi, Februari 20, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Bridgetown, Barbados, Februari 20 (IPS) – Viongozi wa Jumuiya ya Karibi (CARICOM) wanakutana…

Read More

Sababu, athari Serikali kukopa zaidi maeneo haya

Hadi kufikia Desemba 31, 2024 deni la taifa la Tanzania lilikuwa limefikia Dola za Marekani 46.56 bilioni (Sh121.45 trilioni), huku Serikali ikichangia asilimia 70.7 ya deni lote. Ripoti ya mwenendo wa uchumi ya kila mwezi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaonyesha kuwa katika deni lote la Taifa, deni la nje lilikuwa Dola 32.92…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI – Yanga ilipaswa kusimama na Khomeiny

KILE kilichofanywa na Simba kwa winga wao Ladack Chasambi aliyejifunga kule Babati walipocheza na Fountain Gate ni babu kubwa sana hata hapa kijiweni tulipongeza. Ni jambo la kawaida linalopaswa kufanywa na timu au hata wadau wa michezo pindi mchezaji hasa mwenye umri mdogo anapokosea uwanjani ili kulinda kipaji chake na sio vinginevyo. Kuna namna mchezaji…

Read More

India yajitosa kumaliza tatizo la maji shehia 55 Zanzibar

Unguja. Tatizo la maji safi na salama linalowakabili wananchi kisiwani hapa huenda likapata mwarobaini baada ya mradi mkubwa unaofadhiliwa na Benki ya Exim ya India kukamilika. Kupitia mradi huo wenye thamani ya Dola za Marekani 92.18 (Sh237 bilioni) vimechimbwa visima 64 vinavyozalisha maji lita za ujazo milioni 177 kwa siku na yamejengwa matenki makubwa 15…

Read More

WAFUGAJI SIMANJIRO WAIPA TANO CCM

Na.Elisa Shunda, Simanjiro, Manyara Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Ally Hapi (MNEC), amewahakikishia wananchi, hususan jamii ya wafugaji na wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, kuwa chama hicho kitaendelea kuisimamia serikali ili kuhakikisha changamoto zinazowakabili zinafanyiwa kazi kwa haraka na kwa ufanisi. Akizungumza katika mkutano wa…

Read More