
MBUNGE WA MADABA AAHIDI UJENZI WA MRADI WA MAJI KUKAMILIKA KARIBUNI KIJIJI CHA NGADINDA KATA YA GUMBIRO
Na Belinda Joseph, Ruvuma. Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, amewataka Wakazi wa Kijiji cha Ngadinda Kata ya Gumbiro Halimashauri ya Madaba, kuwa na subra wakati mradi wa maji safi na salama ukiwa mbioni kukamilika na kuanza kutoa huduma kwa jamii siku za hivi karibuni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kwa wananchi…