
Tanzania inaweza kujifunza haya kwa watoto wa Finland
Fikiria watoto wenye umri wa miaka 13 tayari wanafunzwa kuhusu masuala ya fedha, kuweka akiba, bajeti, au hata jinsi ya kuendesha biashara ndogo. Nchi ya Finland imebuni programu maalumu kwa vitendo, kwa Kifini Yrityskylä (Mji wa Biashara) kwa ajili ya kujifunza masuala ya kifedha kwa watoto mashuleni na imeleta matokeo mazuri. Programu ya Yrityskylä, inahusisha…