
Hofu yatanda M23 wakisonga mbele
Milio ya risasi ilisikika katika mji wa mpakani wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jumatano, vyanzo vya ndani vilisema, huku mapigano yakizuka kati ya vikosi vya washirika katikati ya kusonga mbele kwa waasi wanaoungwa mkono na Rwanda. Wakazi na maofisa wameeleza hali ya uporaji, miili ikiwa mitaani na wanajeshi wa serikali…