
Okoa kifo cha mapema kwa kutembea hatua 2000 kwa siku
Utafiti uliowahi kuchapishwa na Jarida la Internal Medicine, uligundua uwezekano wa kupunguza hatari ya kifo cha mapema kwa kila hatua 2,000 unazotembea kwa siku. Ulibaini kutembea hatua 10,000 kwa siku kunapunguza hatari ya kupata ugonjwa wa moyo na mishipa ya damu, aina 13 za saratani na kiharusi. Kutembea kunaweza kufanyika katika maeneo ambayo ni rafiki na…