$ 53.2 bilioni zinazohitajika kwa uokoaji wa Palestina, UN inalaani uvamizi wa shule za UNRWA, mvutano wa Lebanon-Israel unaendelea-Maswala ya Ulimwenguni

“Wapalestina watahitaji hatua za pamoja kushughulikia changamoto kubwa za kupona na ujenzi ulio mbele. Mchakato endelevu wa kupona lazima urejeshe tumaini, hadhi, na maisha kwa watu milioni mbili huko Gaza, “alisema Muhannad Hadi, Mratibu wa UN na Mratibu wa Kibinadamu katika eneo lililochukuliwa la Palestina. Tathmini inakadiria kuwa $ 29.9 bilioni inahitajika kukarabati miundombinu ya…

Read More

‘Birthday’, vifo na ndoa vinavyotumika kusaka uteuzi wa udiwani, ubunge CCM

Dodoma/Dar. Joto la uchaguzi mkuu linazidi kupanda na kuwafanya wanasiasa kuwa wabunifu katika kuhakikisha wanapata nafasi za uteuzi. Ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mambo yamezidi kupamba moto wakati ikiwa imesalia miezi takribani saba kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika baadaye mwaka huu. Kinachoendelea kwa sasa ndani ya chama hicho ni uwepo wa makada wakiwemo wabunge,…

Read More

Mifumo mitano ya Tehama kukuza uchumi wa kidijitali

Arusha. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, katika kipindi cha mwaka 2024/25 imewezesha ujenzi wa mifumo mitano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), itakayochangia maendeleo ya nchi hususani ukuzaji wa uchumi wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, akifungua mkutano wa Baraza la…

Read More

Mfumo waja kusajili watumishi kada ya ununuzi

Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto nyingi zinazowakabili watumishi wa kada ya ununuzi katika kutekeleza majukumu yao, ikiwemo kukosekana kwa kanzidata yao. Changamoto nyingine ni uzingatiwaji wa ithibati ya taaluma ya ununuzi, uwezo mdogo wa baadhi ya wataalamu wa kada hiyo wanoendana na mabadiliko ya sayansi, teknolojia na uadilifu wenye shaka…

Read More

Sh260 za Benki ya Dunia kuboresha sekta ya afya

Unguja. Benki ya Dunia (WB) imeipatia Zanzibar Dola za Marekani 100 milioni (Sh260 bilioni) kuimarisha miundombinu ya sekta ya afya kisiwani hapa. Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki hiyo Kanda ya Kusini Mwa Afrika, Milena Stefanova ametoa kauli hiyo leo Februari 18, 2025 alipozungumza na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, Ikulu Zanzibar. Amesema benki hiyo…

Read More

TWCC Yazindua Maonesho na Tuzo kwa Wanawake Wajasiriamali Tanzania kwa Msimu wa Tano

CHAMA cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kimezindua rasmi Maonesho na Tuzo kwa Wanawake Wajasiriamali kwa msimu wa tano, pamoja na kutangaza mfululizo wa matukio yatakayosherehekea Siku ya Wanawake Duniani 2025. Matukio haya yatafanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, yakilenga kuonyesha mafanikio ya wanawake katika sekta ya biashara na kukuza usawa wa kijinsia. Akizungumza na waandishi…

Read More

Korti yaamuru Dk Slaa apelekwe mahakamani Machi 4

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru, mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Willibrod Slaa (76) kupelekwa mahakamani hapo Machi 4, 2025 wakati kesi yake ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii, itakapotajwa. Dk Slaa ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mgombea urais kupitia chama hicho…

Read More