
Pura kuendesha mnada wa vitalu 26 mafuta
Morogoro. Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura), ambayo ni taasisi chini ya Wizara ya Nishati, imepanga kuendesha mnada wa vitalu 26 vya utafutaji mafuta na gesi asilia, kati ya hivyo 23 vipo katika Bahari ya Hindi na vitatu vikiwa katika Ziwa Tanganyika. Lengo kuu ni kuvutia wawekezaji na kuimarisha juhudi za…