
Mfanyabisahara atoweka na waliojiita ‘usalama wa taifa’ Musoma
Musoma. Mkazi wa Kijiji cha Busekela wilayani Musoma Mkoa wa Mara, Helment Turutumbi (45) hajulikani alipo baada kuchukuliwa na watu wasiojulikana ambao walifika kijijini hapo na kujitambulisha kama usalama wa taifa kutoka Dodoma. Turutumbi ambaye ni mvuvi na mfanyabiashara wa dagaa katika mwalo wa Busekela, alichukuliwa na watu hao kijijini hapo Februari 14, 2025 saa…