
Mauaji harusini yamtupa jela miaka 12
Moshi. Mahakama Kuu kanda ya Moshi, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 12 jela, mkazi wa Masama Nguni Wilaya ya Hai, Vicent Timoth (25), kwa kosa la kumuua mmoja wa wageni waliohudhuria harusi ya mdogo wake. Awali, Timoth alishitakiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia chini ya kifungu 196 na 197 cha kanuni ya adhabu, lakini…