
Tanzania yapewa tuzo ya usalama barabarani
Dar es Salaam. Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) umepokea tuzo ya kimataifa kutokana na mchango wake wa kuboresha usalama wa barabara (safer road). Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega na Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Mohamed Besta kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana Februari 17, 2025 wamepokea tuzo ya heshima katika mashindano…