
Mikoa 15 kupata mvua kuanzia saa 3 usiku huu
Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo ya mikoa 15 inatarajiwa kupata mvua kwa saa 24 zijazo kuanzia saa tatu usiku, kwa mujibu wa Mamlala ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Mikoa hiyo ni pamoja na Kagera, Geita, Kigoma, Tabora, Katavi, Morogoro, Rukwa, Ruvuma, Iringa, Songwe, Njombe, Lindi, Mtwara, Rukwa na Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa…