DCEA yanasa bustani ya bangi ndani ya nyumba

Dar es Salaam. Licha ya udhibiti mkali wa kilimo cha bangi, wakulima wamebuni mbinu mpya za kukwepa mkono wa dola, ikiwemo kupanda miche kwenye makopo. Mkoani Arusha, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata mtu anayedaiwa kuotesha miche ya bangi ndani ya nyumba yake. Mtuhumiwa huyo, ambaye jina lake halijawekwa wazi,…

Read More

Serikali kuzibana SImba, Yanga ishu ya viwanja

Serikali imepanga kutoa maelekezo kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu zikiwemo Simba na Yanga kuwa na viwanja vyao vitakavyotumika kwa mechi za mashindano kwa sababu miundombinu ni uti wa mgongo wa michezo nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Neema Msitha wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na…

Read More

CRDB yavuka lengo mauzo ya hatifungani ya miundombinu

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetangaza mafanikio makubwa ya hatifungani ya miundombinu ya ‘Samia Infrastructure Bond,’ iliyovuka lengo kwa asilimia 115, ikikusanya Sh323bilioni ambayo ni zaidi ya mara mbili ya lengo la kukusanya Sh150 bilioni. Leo Februari 18, 2025 wakati wa maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,…

Read More

Janja ya Pamba Jiji iko hapa

NYOTA wawili wa Pamba Jiji FC, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi na Abdoulaye Yonta Camara raia wa Guinea, wameongeza mzuka ndani ya kikosi hicho kutokana na mchango wao wanaouonyesha kikosini, tangu wajiunge dirisha dogo la Januari mwaka huu. Momanyi ametokea Shabana FC ya kwao Kenya, huku kwa upande wa Camara akijiunga na kikosi hicho kwa mkopo…

Read More

Chama cha Sau Moshi mjini kuchaguana Februari 28

Moshi. Chama cha Sauti ya Umma (Sau), kimetangaza mchakato wa uchaguzi kwa ajili ya kupata viongozi wa chama hicho ngazi ya Wilaya ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, huku kikiwataka wananchi na wanachama wenye sifa kujitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi. Nafasi zinazowaniwa ni pamoja na mwenyekiti wa chama hicho wilaya, makamu mwenyekiti,…

Read More

Museveni atoa kauli Besigye kuendelea kushikiliwa

Rais Yoweri Museveni ameweka wazi msimamo wake kuhusu utata unaozunguka kizuizini kwa Dk Kizza Besigye akisema kuwa swali sahihi siyo kwa nini Dk Besigye alipelekwa rumande, bali ni kwa nini alikamatwa. “Iwapo unataka nchi yenye utulivu, swali sahihi zaidi linapaswa kuwa: Kwa nini Dk Besigye alikamatwa?” Museveni amesema. “Jibu la hilo ni kesi ya haraka…

Read More