WAZIRI MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA USWISI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 18 Februari 2025 Madhumuni ya mazungumzo hayo yalikuwa ni Mhe. Providoli kujitambulisha rasmi kwa Mhe. Waziri Kombo…

Read More

600 wafanyiwa upasuaji mtoto wa jicho

Unguja. Wagonjwa 15,115 wamepatiwa matibabu katika Hospitali ya Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kati ya hao 600 wamefanyiwa upasuaji wa macho, ikiwamo utoaji wa mtoto wa jicho. Matibabu hayo yalifanyika katika kambi ya wiki moja iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Dk Hussein Khamis Othman, amesema hayo leo Jumanne Februari 18, 2025 aliposoma risala ya…

Read More

Jeshi La Rwanda Limeingia Bukavu – Global Publishers

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imesema kuwa jeshi la Rwanda na washirika wake wameingia katika mji wa Bukavu, mashariki mwa nchi hiyo, katika jimbo la Kivu Kusini, na kuwataka wananchi kuwa macho. Wizara ya Mawasiliano ya DRC imesema kupitia mtandao wa X kwamba: “Serikali inafuatilia hali inayoendelea Bukavu, kufuatia…

Read More

Kinachoikabili sekta uchumi wa buluu

Unguja. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi imekiri kukabiliwa na changamoto zinazohitaji mtazamo wa sekta mtambuka za mazingira, uchumi, teknolojia na utawala wa kimataifa. Waziri wa wizara hiyo, Shaaban Ali Othman amesema hayo leo Jumanne Februari 18, 2025 katika Mkutano wa 18 wa Baraza la Wawakilishi, Chukwani, wakati wa kipindi cha maswali na majibu….

Read More