
Sowah kiatu anakitaka Bara | Mwanaspoti
MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameanza maisha yake vyema katika kikosi hicho tangu ajiunge nacho dirisha dogo la Januari mwaka huu akitokea Al-Nasr Benghazi ya Libya, hivyo kuanza kutishia upya vita ya ufungaji bora akionyesha anakitaka kiatu cha dhahabu. Sowah tangu ajiunge na Singida amecheza michezo sita ya Ligi Kuu na kufunga mabao…