
TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA UTALII
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamejiri leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,…