
Mwekezaji wa Kimarekani Atangaza Mpango ya Kujenga Hoteli ya Kisasa Hifadhi ya Serengeti, Atafuta Washirika wa Ndani.
Katika hatua inayolenga kubadili taswira ya utalii wa Tanzania, Kampuni ya Maendeleo Hospitality Ventures (MHV), inayoongozwa na kundi la wawekezaji wa Kimarekani, imetangaza mpango wake unaolenga kujenga hoteli ya kifahari yenye hadhi ya nyota tano katika Kijiji cha Robanda, karibu na Lango la Fort Ikoma la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Mpango huu unalenga kuimarisha…