
DC NDILE AWAITA WAWEKEZAJI KWENDA KUWEKEZA WILAYANI SONGEA
Na Mwandishi Wetu,Songea SERIKALI Wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma imesema,itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya Nchi watakaohitaji kuwekeza na kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo Wilayani humo. Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile, baada ya kutembelea shamba la kahawa lenye ukubwa wa zaidi ya hekta…