
Uingereza kuendelea kutoa misaada baada ya Marekani kusitisha
Dar es Salaam. Wakati Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump ikikata misaada yake kwa mataifa mengine, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Marianne Young, amesema nchi yake itaendelea kutoa misaada ya kimaendeleo na kibinadamu kama sehemu muhimu ya ushirikiano wa kimataifa. Balozi Young amebainisha hayo wakati wa mahojiano maalumu na Mwananchi leo Jumatatu, Februari…