
Siri Rais Samia kuendelea kung’ara majukwaa ya kimataifa
Miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani imekuwa na ushawishi mkubwa katika jumuiya ya kimataifa kutokana na kuaminiwa na kupewa majukumu kwenye jumuiya za kikanda na ulimwenguni kwa ujumla. Tangu ameapishwa Machi 19, 2021, Rais Samia ameendelea kuwa kinara katika shughuli tofauti za kimataifa, akiirudisha sifa ya Tanzania kwenye ushirikiano wa kimataifa ambayo ilikuwa…