
KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA WAZIRI RIDHIWANI KWA USIMAMIZI WA MIRADI YA NSSF ARUSHA
Na Mwandishi wetu: Arusha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete kwa kuusimamia Uwekezaji wa Miradi inayotekelezwa naMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mradi wa majengo ya kitega Uchumi na Mafao…