Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela,280 vifungo mbalimbali

Na. Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa  mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamjzi wa Polisi SACP Justine Masejo…

Read More

ECLAT NA UPENDO WAPELEKA NEEMA YA ELIMU NGORIKA.

Na John Walter -Simanjiro. Shirika la ECLAT DEVELOPMENT FOUNDATION kwa kushirikiana na Upendo Association limekabidhi rasmi Shule Mpya ya Msingi Kariati iliyopo Kijiji cha Ngorika, Kata ya Ngorika, Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara kwa serikali baada ya kukamilisha ujenzi wake. Gharama za ujenzi wa shule hiyo ni shilingi milioni 121.1. Shule hiyo mpya inajumuisha…

Read More

WANANCHI WASHAURIWA KUJISAJILI WEZESHA PORTAL

Na. Eva Ngowi – Kilimanjaro Serikali imewashauri wananchi kusajili vikundi vyao vya huduma ndogo za fedha kupitia mfumo wa Wezesha Portal ambayo ni njia rahisi na haina gharama yoyote. Ushauri huo umetolewa na, Afisa Usimamizi Fedha Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bw. Jackson Mshumba wakati akitoa Elimu ya…

Read More

MWANAFUNZI MWENYE ULEMAVU AELEZA JINSI TASAF ILIVYOMUWEZESHA KUPATIWA MKOPO KWA ASILIMIA 100 HESLB

*Amshukuru Rais Samia kwa kuendelea kuiwezesha TASAF, agusia safari yake kielimu akitoa familia ya kaya masikini… Na Said Mwishehe,Michuzi TV WAKATI leo Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ikisherehekea miaka 20 ya kuanzishwa kwake wanafunzi wanaotoka kaya masikini wametoa shukrani kwa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF)kuwa daraja ambalo limewezesha wanafunzi wanaotoka katika kaya zinazonufaika…

Read More

Muswada kuifumua NHIF watua bungeni

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imewasilisha bungeni Muswada wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) 2025 ukiwa na lengo la kuufanyia marekebisho ikiwamo usajili wa wananchama wa sekta binafsi, sekta isiyo rasmi na watu wasio na uwezo. Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza katika mkutano wa Bunge wa 18 uliomazika Februari…

Read More

Grok 3 ya Elon Musk kuongeza ushindani wa AI

Dar es Salaam. Bilionea Elon Musk amethibitisha kuwa toleo jipya la teknolojia ya Akili ya Bandia (AI) inayoitwa Grok 3 litazinduliwa Jumanne, Februari 18, 2025, saa moja  asubuhi. Tangazo hili limetolewa kupitia ukurasa wake wa X, Musk amedai kuwa, Grok 3 itakuwa “AI yenye akili zaidi duniani,” ikilinganishwa na teknolojia zingine zilizopo kwa sasa. Grok…

Read More

Ruto abebeshwa lawama Raila kuukosa uenyekiti AUC

Nairobi. Sera ya Kimataifa ya Kenya na kauli za Rais William Ruto zimetajwa kuwa mzigo mzito uliomharibia mgombea wa nchi hiyo, Raila Odinga, katika jaribio lake la kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Katika uchaguzi huo uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, Jumamosi Februari 15, Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud…

Read More