
Kifungu hiki hakitawaacha salama makada wa CCM
Kuna methali isemayo asiyesikia la Mkuu huvunjika guu na hiki ndicho kinaenda kuwakuta makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), walioanza mapema kampeni na harakati za kuwania ubunge na udiwani, licha ya chama kuonya juu ya hilo. Ama kwa kutokujua, kupuuza au kujiaminisha liwalo na liwe, hawakuwa wanasoma vifungu vya kanuni za uteuzi wa wagombea uongozi…