Picha za utupu WhatsApp zilivyosababisha mauaji

Moshi. Mahakama ya Rufani Tanzania, imemfutia adhabu ya kifo, Frank Ezbon, aliyemuua mpenzi wake, Jesca Lucas baada ya kukuta picha za utupu kwenye WhatsApp akiwa na mwanamume mwingine, badala yake imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela. Tukio la mauaji ya Jesca, lilitokea Julai 2020 katika nyumba ya kulala wageni ya Paradise Lodge iliyopo Mji wa…

Read More

Kuna vita ya top four Ligi Kuu

Ligi Kuu Tanzania Bara imebakiza michezo saba ili iweze kumalizika na itapigwa ndani ya miezi miwili, Aprili na Mei baada ya ligi kurejea kutoka kwenye mapumziko. Hii ni msimu ambao kila timu inaonekana kujipanga vyema na bado kuna vita kuwa ya kuwania ubingwa ambayo inawaniwa na Yanga, Simba na Azam. Ukiachana na vita hiyo, mwezi…

Read More

WANANCHI EPUKENI MADENI YASIYO YA LAZIMA

Na Chedaiwe Msuya, WF, Mwanza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Bw. Mohammed Kiande, amewataka wananchi kupanga matumizi yao vizuri, kuepuka madeni yasiyokuwa ya lazima, kujenga utajiri na kuongeza Uelewa wa Masuala ya kiuchumi. Bw. Kiande alitoa rai hiyo wakati alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, Taasisi…

Read More

GREEN ACRES KINARA WA KUIBUA VIPAJI

NA MWANDISHI WETU Shule ya sekondari ya Green Acres ya mbezi beach,kata ya wazo,,Wilaya ya Kinondoni,jijini Dar es salaam inawataka wazazi kupeleka vijana wao shuleni hapo ili kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana wao. Mwalimu mkuu wa shule hiyo Jonathan Kasabila anasema kwamba shule ina waalimu bora wa michezo na kwamba mzazi anapata uhakika wa…

Read More

DHAHABU ZA MIL 700 ZAKAMATWA ZIKISAFIRISHWA KWA MAGENDO.

Jumla ya Gramu 3263.72 za dhahabu zenye thamamani ya shilingi milioni 749,509,531.94 zimekamatwa zikisafirishwa kinyume cha sheria mkoani Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu watatu waliokamatwa wakiwa na dhahabu hizo wakisafirisha kwa njia za magendo pia kinyume cha sheria kwa kutumia gari aina ya Toyota Premio yenye namba za usajili T.739 EEH…

Read More