
Majaliwa afichua siri Tanzania kupiga hatua kimaendeleo, amani
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushiriki wa viongozi wa dini katika mipango ya maendeleo ya jamii unasaidia kwa kiasi kikubwa kusonga mbele. Alisema mahubiri wanayotoa yanayokanya na kukemea maovu yanasaidia kuleta mahusiano mazuri na kuhamasisha uwepo wa amani katika jamii. Wananchi wakiwa katika maombi ya kitaifa viwanja wa Leaders, Dar es Salaam….