
BoT yaonya tena biashara ya upatu
Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba ametoa onyo kwa wanaojihusisha, kuendelea kufanya biashara ya upatu akisema shughuli hizo ni haramu kwani zinafanyika pasipokuwa na uwiano wa shughuli za kiuchumi. Tutuba anayasema hayo wakati baadhi ya watu wakitiwa nguvuni na Jeshi la Polisi kutokana na kujihusisha na biashara hiyo bila…