
Ken Gold yabanwa Sokoine, mashabiki watawanywa na polisi
Ken Gold imeshindwa kujinasua mkiani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mashujaa, huku mashabiki wa timu hiyo wakionekana kuvurugwa na matokeo hayo. Baada ya mchezo kumalizika, mashabiki walijikusanya katika geti kubwa wakionyesha kutofurahishwa na matokeo hayo hadi Polisi walipowatawanya. Katika mchezo huo ambao umepigwa Uwanja wa Sokoine, Ken Gold ilionekana kuwa na…