TUME YA USHINDANI FCC KWA KUSHIRIKIANA NA FCS WAMEZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI ZA MLAJI DUNIANI

Tume ya Ushindani FCC kwa kushirikiana na Shirika la The Foundation For Civil Society FCS wamezindua maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji Duniani, yanayotarajiwa kufanyika kitaifa Machi 17, 2025 Jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi anatajiwa Waziri wa Viwanda na Biashara DKt. Selemani Jafo. Maadhimisho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya “Haki na…

Read More

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU

Na; Mwandishi Wetu – Arusha Kufuatia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotegemea kufanyika Kitaifa Jijini Arusha Tarehe 8 Machi, 2025, yaliyotanguliwa na maonesho na utoaji wa Elimu kwa Umma katika Viunga vya Uwanja wa Shekhe Amri Abeid Jijini humo, Wananchi wanaotoka katika maeneo ya Mkoa wa Arusha na Mikoa Jirani, wamefurika katika…

Read More

Simba waikalia kikao Yanga usiku, Ahmed Ally afunguka haya

Uongozi wa Simba umeitisha kikao cha dharura usiku huu kujadili kuzuiliwa kwa timu yao kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo. Simba ilienda uwanjani hapo saa 1:00 usiku ili ikifika muda ambao mchezo huo utachezwa waanze kufanya mazoezini, lakini ilizuiwa na wanaosemekana kuwa makomandoo wa Yanga na hivyo kulazimika kuondoka. Habari…

Read More

WIZARA YA FEDHA YAELIMISHA WANANCHI ARUSHA

Wizara ya Fedha imeungana na washiriki wengine katika kutoa elimu kwa umma kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa jijini Arusha. Maadhimisho hayo yanayotarajiwa kufikia kilele siku ya tarehe 8 Machi, 2025, Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Maonesho hayo yana kauli mbiu ‘’Wanawake na wasichana 2025: Tuimarishe Haki,…

Read More