WATUMISHI WANAWAKE TCAA WAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE

Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, watumishi wanawake wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wameshiriki maadhimisho hayo yaliyofanyika kitaifa mkoani Arusha Machi 08, 2025, Mgeni Rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, Mhe.Rais Samia amepongeza jitihada zilizofanywa katika kuweka uwiano…

Read More

NBAA YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KIMATAIFA

  Katika kuadhimisha siku ya Wanawake Kimataifa, wanawake wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wameshiriki maadhimisho hayo yaliyofanyika Machi 08, 2025 na kuadhimishwa jijini Dar es salaam katika Viwanja vya Leaders ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila. Kauli mbiu ya maadhimisho…

Read More

Wajane wa Wanamuziki wa Rumba Tanzania: Walinzi wa Urithi wa Muziki wa Kizazi Kilichopita

Katika historia ya muziki wa Tanzania, majina ya wanamuziki wakubwa wa rumba hayajawahi kufutika kwenye kumbukumbu za mashabiki wa muziki. Lakini nyuma ya kila mwanamuziki shupavu aliyewasha moto wa burudani, kulikuwa na familia, wake, na watoto waliowashika mkono katika safari yao ya kimuziki. Katika kuenzi mchango wa wake wa wanamuziki hawa, tunawatambua na kuwapa heshima…

Read More

Msimamo wa wanawake ndani ya vyama

Dar/Mikoani. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Dar es Salaam, Mwajabu Mbwambo amewataka wanawake watambue katika uchaguzi wa mwaka 2025 wana jukumu la kuandika historia mpya ya kuwapo wengi katika nafasi za uamuzi. Akizungumza kwenye mkutano wa ndani wa CCM wilayani Kigamboni uliohudhuriwa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi…

Read More

Alama zilizouawa katika 'Abhorrent Attack' kwenye helikopta ya UN huko Sudani Kusini – Maswala ya Ulimwenguni

Zaidi ya wanachama kadhaa wa wanajeshi wa Sudan Kusini, pamoja na mkuu aliyejeruhiwa, pia waliripotiwa kuuawa wakati ujumbe wa UN (Unmise) Helikopta ikawaka moto huko Nasir, Jimbo la Upper Nile. Kulingana na ripoti za habari, helikopta baadaye ilitua salama. Mchanganyiko huo ulikuwa ukifanywa kwa ombi la saini kwa makubaliano ya amani ya 2018, ambayo yalitiwa…

Read More

Lissu akiri changamoto usawa wa kijinsia hata Chadema

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewakumbusha wanachama kuwa  changamoto ya usawa wa kijinsia lipo pia ndani ya chama hicho, hivyo wasiwanyooshee vidole watawala, bali walitatue ndani kwanza. Lissu ametoa wito huo wakati wa sherehe za Siku ya Kimataifa ya Wanawake (IWD) zilizoandaliwa na Baraza la Wanawake wa…

Read More

Samia aweka hadharani hatua iliyofikiwa bima ya afya kwa wote

Arusha/Dar. Wakati Watanzania wakisubiri kwa hamu kuanza utekelezaji wa mpango wa bima ya afya kwa wote, Rais Samia Suluhu Hassan ametaja hatua iliyofikiwa katika mchakato huo, akieleza ni jambo zito. Mchakato ulianza kufanyiwa kazi miaka kadhaa iliyopita, ugumu ukiibuka katika maeneo kadhaa, likiwamo la ukusanyaji wa fedha za kuendesha skimu kuwezesha upatikanaji wa bima kwa…

Read More

Butiku amwelezea Profesa Sarungi, kuagwa Karimjee Dar

Dar es Salaam. Waombolezaji wameendelea kufika  nyumbani kwa Profesa Philemon Sarungi kutoa pole akiwemo Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, ambaye amesema Profesa Sarungi, alikuwa mtu mwadilifu na aliyependa nchi yake. Profesa Sarungi ambaye amewahi kuhudumu kama waziri wa wizara mbalimbali na mbunge wa zamani wa jimbo la Rorya alifariki Machi 5, 2025…

Read More