
Yanga yadai pointi tatu dhidi ya Simba, yakazia kutoshiriki mchezo utakaopangwa
Yanga imetoa msimamo mzito ikisema haitakubali kurudiana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara namba 184 huku ikidai pointi tatu baada ya mpinzani kushindwa kutokea uwanjani. Taarifa ya Yanga iliyotoka usiku huu kufuatia kikao Cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo iliyokutana kwa dharura imesema haitakubali kurudiana na watani wao hao kufuatia mchezo huo…