NMB watia saini makubaliano na NM-AIST kukuza na kuendeleza Teknolojia

Benki ya NMB imesaini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati (MoU) na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) yanayolenga kutambua, kuyatamia, na kuendeleza vipaji vya bunifu za teknolojia ya kidijitali.Pia makubaliano hayo yatasaidia kutekeleza tafiti na bunifu zinazozalishwa na wahitimu na wataalam wa NM-AIST, kwa lengo la kutatua changamoto katika jamii…

Read More

UNUNUZI WA UMEME ETHIOPIA KUIMARISHA HUDUMA YA UMEME KANDA YA KASKAZINI-KATIBU MKUU MRAMBA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana Tanzania kununua umeme Nchini Ethiopia nj kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa mikoa ya kanda ya Kaskazini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana Tanzania kununua umeme Nchini Ethiopia nj kuimarisha upatikanaji wa…

Read More

Gugu maji latishia ufugaji wa vizimba Ziwa Victoria

Mwanza. Ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria umetajwa kuwa hatarini baada ya gugu maji jamii ya Salvinia SPP kuendelea kuzaliana kwa kasi. Gugu maji hilo lililobainika hivi karibuni linazaliana mara mbili hadi tatu kila baada ya siku nane, ndani ya Ziwa Victoria. Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea eneo la…

Read More