
Maaskofu Katoliki watoa utaratibu wa misa kujikinga na Mpox
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya nyani). TEC inechukua hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya kuripoti uwepo wa wagonjwa wawili wa Mpox jijini Dar es…