Wadau waeleza chanzo, suluhu ya mikopo kashausha damu

Dar es Salaam. Wakati wimbi la mikopo kausha damu likiendelea kutawala nchini, wadau wa masuala ya uchumi wameshauri jitihada za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo elimu ya mikopo ili kuwanusuru wananchi wanaoumizwa. Wadau hao wanatoa ushauri huo kipindi ambacho Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekwishabainisha mwarobaini unaozuia mkopeshaji kuingia kwenye namba za simu za mteja. Aidha,…

Read More

Kada wa CCM ashikiliwa na Polisi Tanga

Tanga. Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo, Swahibu Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa. Katika taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi  leo Jumatano Machi 12, 2025 imeeleza uchunguzi unaendelea ili hatua stahiki zichukuliwe kwa mujibu wa sheria. “Jeshi la Polisi Mkoa…

Read More

Kariakoo saa 24 yasuasua, kamera na taa vikitajwa

Dar es Salaam. Wakati zikiwa zimepita siku 12 tangu kuanza kwa biashara saa 24 eneo la Kariakoo, bado ufanyaji biashara usiku unasuasua, huku usalama ukitajwa kuwa ndiyo sababu. Ufanyaji biashara saa 24 ulizinduliwa rasmi Februari 25 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, katika hafla iliyofanyika Mtaa wa Mkunguni na Swahili, Kata…

Read More

Profesa Assad, Mhadhiri UDSM wawapiga darasa vigogo Chadema

Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwemo wajumbe wa kamati kuu watajifungia kwa siku mbili kupigwa darasa la uongozi. Mafunzo hayo kwa viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu yameanza leo Jumatano, Machi 12, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Walengwa wa mafunzo hayo…

Read More

Rais Samia Suluhu Hassan Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi za umma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo umejumuisha wateule katika nafasi mbalimbali za uongozi. Katika uteuzi huo, Dkt. Ismael Aaron Kimirei ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa…

Read More

Kikosi kazi NaCoNGO chazinduliwa – MICHUZI BLOG

BARAZA la Taifa la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali(NaCoNGO), limezindua kikosi kazi cha kitaifa chenye wajumbe 14 wanaotoka katika makundi ya wawakilishi mbalimbali kwa ajili ya kukusanya maoni ya wadau pamoja na kufanya mapitio ya kanuni zinazosimamiwa na baraza hilo. Akizindua Kikosi hicho mapema leo Machi 12,2025 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Baraza hilo,Gasper Makala…

Read More