WASIRA AELEKEZWA JINSI MABILIONI YA RAIS SAMIA YALIVYOPELEKA MAENDELEO SONGWE

*RC Chongolo aanika jinsi bilioni 712.3 zilivyotumika kujenga miradi ya maendeleo Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Songwe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amepokea taarifa ya Mkoa wa Songwe ambayo imesheheni lundo la mabilioni ya fedha ambayo yametumika katika miradi ya maendeleo. Wasira ambaye ameanza ziara ya kikazi katika mkoa huo leo Machi 14,2024…

Read More

MHE. WAZIRI RIDHIWANI AZINDUA BODI YA WADHAMINI YA NSSF

  Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amezindua Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kuitaka kutekeleza majukumu yake kwa kusimamia sheria, sera, kanuni na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali. Uzinduzi wa Bodi hiyo umefanyika tarehe…

Read More

WatendajI Ofisi ya Waziri Mkuu watakiwa kuedelea kuratibu vyema taarifa za utekelezaji wa Serikali kwa manufaa ya Taifa.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu wamehimizwa kuratibu vyema taarifa za utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Sita na kuzisemea kazi hizo kwa wananchi ilia wapate uelewa wa uhakika wa miradi ya maendeleo iliyofanywa na Serikali katika maeneo yao. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi…

Read More

Huko Bangladesh, nadhiri kuu za UN kuzuia mateso ya Rohingya kama misaada inapunguzwa – maswala ya ulimwengu

“Huu ni ziara yangu ya kila mwaka ya Ramadhani, wakati huu kwa mshikamano na wakimbizi wa Rohingya na na watu wa Bangladeshi ambao wanawakaribisha kwa ukarimu,” Bwana Guterres aliambiwa Waandishi wa habari katika Cox's Bazar. Wakati wa ziara yake, Katibu Mkuu alisema alikuwa amesikia ujumbe mbili muhimu kutoka kwa wakimbizi: hamu yao ya kurudi salama…

Read More

GOODNESS GRAYSON ATOA SHUKRANI UONGOZI HOSPITALI YA WILAYA YA SAME KWA HUDUMA BORA

Na Ashrack Miraji Michuzi Tv   Goodness Grayson Ketto ameonesha shukrani zake kwa huduma bora alizozipata wakati alipojifungua mtoto njiti katika Hospitali ya Wilaya ya Same. Katika mahojiano maalum na mwandishi wetu, Grayson alielezea jinsi huduma za afya kutoka kwa wauguzi na madaktari zilivyokuwa muhimu kwa usalama wake na wa mtoto wake. Alisema kuwa hospitali hiyo…

Read More